www.WAMILAZO.blogspot.com

Pages

  • Home

Monday, February 13, 2017

NEWS; ADELE ATWAA TUZO YA ALBUM BORA YA MWAKA KATIKA GRAMMY NA KUI' DEDICATES KWA BEYONCE

By Nemmy Kim

Mwanamuziki Adele ajishindia Tuzo tano huku Beyonce akiondoka na Tuzo mbili katika Tuzo za Grammy msimu wa 59 zilizofanyika Los Angeles nchini Marekani siku ya jumapili.

Baadhi ya vipengele ambavyo Adele alishinda ni pamoja na Wimbo bora wa mwaka, Mtumbuizaji wa mwaka na Album bora ya mwaka Ambapo katika kipengele hicho alipokabidhiwa Tuzo hiyo alisema Tuzo hiyo anai'dedicate kwa queen bey,  Beyonce na Album yake ya LEMONADE"

Ambapo Adele alisema anastahili Tuzo hiyo na siku zote alikuwa akimuangalia beyonce kwa kujifunza kwani anamkubali na alimuomba Beyonce awe mama yake katika muziki kwakuwa Beyonce anazaidi ya miaka 17 na ni bado Mwanamuziki bora Duniani. Na Beyonce alikuwa pembeni ya Jay Z wakimuangalia Adele jukwaani akiongea huku akibubujikwa na machozi.







Beyoncé, standing beside her husband Jay Z, looked on with tears in her eyes. “The way you make me and my friends feel, the way you make my black friends feel is empowering,” Adele added. “You make them stand up for themselves and I love you. I always have and I always will.”
Following this, Adele reportedly broke her gramophone in two and shared half of it with Beyoncé. Backstage, the British songstress continued to praise Queen Bey. “I thought it was her year,” she told reporters. “What the fuck does she have to do to win Album of the Year?”
Tonight, Adele took home five awards in all including Best Pop Solo Performance for “Hello” and Best Pop Vocal Album for 25. Meanwhile, Beyoncé only won two: Best Urban Contemporary Album for LEMONADE and Best Music Video for “Formation.”
See more of tonight’s winners here.
  •   0
  •   582

Shining
Posted by www.wamilazoblog.com at 12:18 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

www.wamilazoblog.com
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2020 (1)
    • ►  04/05 - 04/12 (1)
  • ►  2019 (11)
    • ►  11/10 - 11/17 (2)
    • ►  10/06 - 10/13 (5)
    • ►  09/29 - 10/06 (3)
    • ►  02/17 - 02/24 (1)
  • ▼  2017 (33)
    • ►  06/18 - 06/25 (1)
    • ►  05/21 - 05/28 (3)
    • ►  05/14 - 05/21 (11)
    • ►  04/30 - 05/07 (1)
    • ►  04/16 - 04/23 (1)
    • ►  04/09 - 04/16 (1)
    • ►  03/26 - 04/02 (1)
    • ►  03/19 - 03/26 (5)
    • ►  03/05 - 03/12 (1)
    • ▼  02/12 - 02/19 (5)
      • VIDEO: KID INK FEAT. 2 CHAINZ – ‘SWISH’
      • NEW MUSIC: TREY SONGZ – ‘NOBODY ELSE BUT YOU’
      • NEW MUSIC; MAROON 5 FT FUTURE_COLD
      • NEWS; ADELE ATWAA TUZO YA ALBUM BORA YA MWAKA KAT...
      • NEWS; CHANCE THE RAPPER ASHINDA TUZO ZA GRAMMY
    • ►  01/15 - 01/22 (1)
    • ►  01/08 - 01/15 (2)
  • ►  2016 (92)
    • ►  12/18 - 12/25 (1)
    • ►  12/11 - 12/18 (1)
    • ►  12/04 - 12/11 (1)
    • ►  11/27 - 12/04 (3)
    • ►  11/20 - 11/27 (19)
    • ►  10/30 - 11/06 (3)
    • ►  10/23 - 10/30 (2)
    • ►  10/02 - 10/09 (3)
    • ►  09/11 - 09/18 (10)
    • ►  08/21 - 08/28 (3)
    • ►  08/07 - 08/14 (14)
    • ►  07/31 - 08/07 (13)
    • ►  07/17 - 07/24 (2)
    • ►  07/03 - 07/10 (4)
    • ►  06/19 - 06/26 (1)
    • ►  06/12 - 06/19 (3)
    • ►  06/05 - 06/12 (7)
    • ►  02/28 - 03/06 (1)
    • ►  02/14 - 02/21 (1)
  • ►  2015 (158)
    • ►  08/09 - 08/16 (1)
    • ►  07/26 - 08/02 (2)
    • ►  07/19 - 07/26 (2)
    • ►  07/12 - 07/19 (3)
    • ►  07/05 - 07/12 (1)
    • ►  06/14 - 06/21 (1)
    • ►  06/07 - 06/14 (2)
    • ►  05/31 - 06/07 (1)
    • ►  05/24 - 05/31 (2)
    • ►  05/17 - 05/24 (1)
    • ►  05/10 - 05/17 (5)
    • ►  05/03 - 05/10 (2)
    • ►  04/26 - 05/03 (3)
    • ►  04/12 - 04/19 (1)
    • ►  03/29 - 04/05 (6)
    • ►  03/22 - 03/29 (4)
    • ►  03/15 - 03/22 (18)
    • ►  03/08 - 03/15 (7)
    • ►  02/22 - 03/01 (19)
    • ►  02/15 - 02/22 (8)
    • ►  02/08 - 02/15 (1)
    • ►  02/01 - 02/08 (8)
    • ►  01/25 - 02/01 (6)
    • ►  01/18 - 01/25 (6)
    • ►  01/11 - 01/18 (48)
  • ►  2014 (312)
    • ►  12/21 - 12/28 (7)
    • ►  12/14 - 12/21 (19)
    • ►  12/07 - 12/14 (4)
    • ►  11/16 - 11/23 (13)
    • ►  11/09 - 11/16 (40)
    • ►  10/12 - 10/19 (7)
    • ►  10/05 - 10/12 (11)
    • ►  09/28 - 10/05 (21)
    • ►  09/21 - 09/28 (17)
    • ►  09/14 - 09/21 (2)
    • ►  09/07 - 09/14 (15)
    • ►  08/31 - 09/07 (18)
    • ►  08/24 - 08/31 (16)
    • ►  08/17 - 08/24 (30)
    • ►  08/10 - 08/17 (10)
    • ►  08/03 - 08/10 (23)
    • ►  07/27 - 08/03 (32)
    • ►  07/20 - 07/27 (12)
    • ►  07/06 - 07/13 (10)
    • ►  06/29 - 07/06 (5)

@nemmykim1 twitter

  • @nemmykim1 twitter
  • www.lostpoetsforever.blogspot.com
  • @Nemmykim instagram

Popular Posts

  • NEWS: First Look, Ariana Grande and The Weeknd Team Up in ‘Love Me Harder’ Video
    By Nemmy Kim. Ariana Grande and The Weeknd went in front of the lens earlier this week to shoot a video for their steamy due...
  • BASATA adhabu hii kwa Shilole ni kubwa mno
    By eva godchance Baraza la Sanaa la taifa, BASATA limekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa shughuli za sanaa zinaenda katika ...
  • (no title)
    Tiny Fires Back at Azealia Banks: ‘Who Is She?’ By Nemy Kim On her fourth wedding anniversary , Tameka “Tiny” Harri...
  • Video: Iggy Azalea feat. Jennifer Hudson – ‘Trouble’
    By Nemmy Kim. During her absence from social media, Iggy Azalea premieres the video for “Trouble,” the latest single off her album R...
  • Album Cover: Tyga – ‘The Gold Album: 18th Dynasty’
    By Nemmy Kim. All gold everything. A day after dropping his Fan of a Fan single with Chris Brown, Tyga has unveiled the a...
  • VIDEO; Mwanamuziki AZMA na belle 9 wamedai hawajapaniki ila video yao mpya ya Astara Vaste ni bora kuliko ya Darasa na Ben Pol
    By Nemmy Kim.  Kulinganishwa kwa ukali wa video inayoitwa Astara Vaste ya Azma aliyomshirikisha belle 9 na Darassa aliyomshirikis...
  • UPDATE: Justin Bieber Hits the Studio with Rick Rubin
    By Nemmy Kim. Justin Bieber is getting...
  • Video: Eric Bellinger feat. 2 Chainz – ‘Focused On You’
    By Nemmy Kim.                       Eric Bellin...
  • NEWS; TINASHE TEASES ‘SONGS FOR YOU’ PROJECT
    By Creator, Tinashe is readying new music for her fans. Taking to social media Saturday, the R&B singer posted a 90-second tra...
  • India yatengeza ‘smartphone’ ya bei rahisi duniani, inauzwa dola 3 sawa na tsh 6300
    Kampuni moja ya India inatarajiwa kuzindua kile kinachojulikana kuwa simu aina ya smartphone ya bei rahisi.

Video

  • Home
  • Audio
  • Video

NemmyEmpire

  • Home
Simple theme. Powered by Blogger.