Pages

Tuesday, May 26, 2015

NEWS:HAYA APA MAANDALIZI YA KICHUPA CHA MEDA CLASSIC CHA ''KONGOI"

By Eva Godchance.

Mwanamuziki wa Bongo fleva mwenye ndoto za kimataifa Meda Classic ameongea na mashabiki wa ke wakae tayari kwaajili ya video yake mpya 
inyokwenda kwa jina la KONGOI,
ikiwa Audio imefanywa na producer MAZUU  Na kwa upande wa video imefanya na kampuni ya   EMAGENATION na jina la DIRECTOR anaitwa NICKLASSM aliye shoot Nyimbo  ya kwanza ya Meda classic 'BARUA KWA DIAMOND'.Moja kati ya vikwazo ambavyo Meda Classic ameelezea ambavyo wasanii wengi wanaochipukia wanakutana nazo ni pamoja na  msanii kukosa management nzuri' hata akiwa anaimba vipi hawezi kutoka kimuziki bila ya usimamizi" kingine ni jinsi ya wasanii wanavyo ongezeka na wanafanya kazi nzuri kwahiyo inatakiwa muda mwingi kukaa chini na kufikiria idea ya tofauti kuliko wengine ili kuleta ushindani katika soko" Lakini pia Meda Classic aliongeza kwa kuwaomba mashabiki Wake wampokee vizuri kama wanavyo wapokea wasanii wengine wenye majina makubwa kuliko yeye na wasupport Nyimbo zake ikiwemo kuziomba Radio station mbalimbali Tanzania. ' 

Meda Classic amesema mashabiki pia wategemee   Video ya Nashangaa jiji  mapema kwani ndiyo wameanza rasmi kusimamia project moja, moja na Manager Wangu MR KIBO. Na kwasasa yupo location wameanzaa kushoot KONGOI ambayo itaachiwa baada ya NASHANGAA JIJI.

kwa  Social network instagram @medaclassic..fb@meda classic

No comments:

Post a Comment