Pages

Tuesday, June 16, 2015

baada ya "JUU KWA JUU" SONGA atangaza "HISIA ZA MOYONI"

By eva godchance

Heatmaker wa juu kwa juu Songa Mwanamuziki wa hip hop kutoka kundi la Tamaduni Music Ijumaa hii ya tarehe 19 June 2015 ataachia Wimbo wake mpya wa "HISIA ZA MOYONI.
Ambao wimbo huo ndio umebeba jina la Album yake mpya itakayoingia sokoni mapema Mwaka huu 2015. Songa a.k.a SAMAKI MWENYE KIU NDANI YA MAJI amesema mashabiki na wadau wa muziki wategemee kusikia vitu tofauti kutoka kwenye wimbo huo "Hisia za Moyoni na Pia ameomba sapoti yako wewe shabiki

No comments:

Post a Comment